IQNA – Mazishi makubwa na yenye adhama ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, yaliyovuta mamilioni ya waombolezaji, hayakuwa tu hafla ya kitaifa, bali pia yamekuwa nukta ya mageuzi katika kuijenga upya taswira ya Iran katika medani ya kimataifa.
Habari ID: 3482466 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/10